Mikopo ya zana kwa ajili ya watu kama wewe!

  • EFTA hukopesha mashine zenye thamani ya kufikia hadi hadi milioni Tsh 220.
  • Hakuhitajiki dhamana na hakuna ada zilizofichika.
  • Chagua kutoka orodha ndefu ya wauzaji wanaoaminika.
  • Aina nyingi za biashara zinastahili.
  • Matawi yako Moshi, Arusha, Bukoba, Mbeya, Mwanza, Morogoro, na Dar es Salaam.

What Entrepreneurs say

modest

Nawashukuru wafanyakazi wa EFTA, wako tayari kusaidia kutatua changamoto zinazowakumba wateja. Hii inasaidia wateja kupata mafanikio katika baishara zao.

Mushi Animal Feeds

<< Prev
Next >>

Jinsi EFTA wanavyofanya kazi na wagawaji

  • EFTA wanaweza kuwapatia fedha wateja wako
  • Jipatie njia ya chanzo kipya cha wateja.
  • Wafikie maelfu ya wateja wenye tija kupitia matukio ya mara kwa mara ya wauzaji wa EFTA
  • Wewe ni mgawaji? Angalia jinsi EFTA wanavyoweza kufanya kazi na wewe.

Please select a language

ENGLISH
SWAHILI